Mombo, F.Macrice, S. A.Luoga, E. L.Nyanghura, Q.2018-07-232018-07-232017-03-15https://www.suaire.sua.ac.tz/handle/123456789/2571Usimamizi Shirikishi wa Misitu ilianza mwanzoni mwa 1990, Usimamizi Shirikishi wa Misitu ni njia moja wapo ya utunzaji misitu wa kutumia jamii inayozunguka msitu husika.Sera ya Misitu ya Taifa, Sheria ya Misitu ya mwaka 2002 pamaoja na mipanngo na miradi ya Nchi inasisitiza Usimamizi Shirikishi wa Misitu kwa ajili ya kuboresha misitu nchini na kuongeza uhakika wa chakula na pato la mwananchi wanaozunguka misitu. Sera, sheria pamoja na miongozo zimetoa utaratibu wa uanzishaji Usimamizi Shirikishi wa Misitu. Lengo la kijitabu hiki ni kuainisha hatua kwa hatua na katika lugha rahisi namna ya uanzishaji na utekelezaji Usimamizi Shirikishi wa Misitu.otherTraining manualUtafiti Misitu LudewaUsimamaizi MisituUsimamizi Shirikishi Misitu.Training manualWorkshop Presentation